Maana: Hii ni kila ile suna iliyomo ndani ya swala ambayo kuacha kwako kuitenda kwa kusahau kutakupeleka kusujudu sijidat sahwu mwishoni mwa swala yako, kabla ya kutoa salamu. Suna hizi…
Author: admin
SUNNA ZILIZO NDANI YA SWALA
Zingatia suna hizi zilizo ndani ya swala katika vigawanyo (sehemu) viwili vifuatavyo:- i/. AB-AADH na ii/. HAY-AAT Hebu sasa, baada ya kujua mgawanyiko wa suna zilizomo ndani ya swala, tuangalie…
SUNNA ZILIZO KABLA YA SWALA
Haya ni mambo ambayo mwenye kuswali anatakiwa kuyatenda kabla hajaingia ndani ya swala, haya hayazidi mambo matatu ambayo ni: (i) Adhana (ii) Iqaamah. Inshaalah, tutazielezea adhana na Iqaamah kwa ufafanuzi wa kutosha…
MTUNGAMANO (UTARATIBU) WA NGUZO HIZI KAMA ZILIVYOTAJWA
Kutungamanisha nguzo za swala ni kuziratibisha kwa utaratibu wake kama zilivyo moja baada ya nyingine kila moja ikachukua nafasi yake bila ya kuitangulia nyingine. Kwa mantiki hii, mwenye kuswali analazimika…
SALAMU YA KWANZA
Kutoa salamu ni ule ugeukaji wa kutumia shingo tu wa mwenye kuswali kuliani kwake il-hali akisema …………ASSALAAMU ALAYKUM WARAHMATULLAH Nguzo hii ni natija ya kauli ya Bwana Mtume – Rehema…
KUMSALIA MTUME BAADA YA TASHAHADU YA MWISHO
Hii ndio nguzo ya kumi na moja ya swala. Nguzo hii yaani kumswalia Bwana Mtume, huchukua nafasi mara tu bada ya kukamilka kwa tashahudi na kabla ya kutoa salamu. Hapo…
TASHAHADU YA MWISHO {KATIKA KIKAO CHA MWISHO}
Ni wajibu kwa mwenye kuswali akae baada ya sijda ya mwisho ya swala yake asome “Tashahudi” imepokelewa katika riwaya ya Ibn Masoud Allah amuwiye radhi – amesema : Tulikuwa tukisema…
KIKAO CHA MWISHO
Hapa kinachokusudiiwa ni kile kitako kinachokuwa katika rakaa ya mwisho ya swala, kinachofandamiwa na salamu. Ni suna iliyothibiti kukaa mkao wa “ Tawarruki” katika kikao hiki cha mwisho . Huu…
KITAKO BAINA YA SIJIDA MBILI
Kitako hiki baina ya sijida mbili ni wajibu kiwepo katika kila rakaa. Dalili ya kitako hiki: Kitako hiki kilicho baina ya sijida mbili; ile ya kwanza na ya pili, kimetajwa…
KUSUJUDU MARA MBILI KATIKA SWALA
Nguzo ya saba ya swala ni kusujudu. Na maana ya sijida ni kugusa paji la uso la mswaliji mahala anapo sujudu. Dalili ya sijida: Sijida kama nguzo ya swala ni…
