FAIDA SEHEMU YA TATU

Hebu uchunguze na uuangalie huo mkono wako ambao unaouinua katika Takbiratul-Ihraam ndani ya swala. Utaona kama kwamba unayakunja na kuyakata masafa marefu yaliyo baina yako na Al-Ka’aba. Bali ukifikiria na…

FAIDA SEHEMU YA PILI

Inampasa muumini kuwa mtulivu na makini awapo ndani ya swala. Hii ni kwa sababu haijuzu kuitekeleza ibada kwa harakati (matendo) za haraka haraka; zenye kutoa sura tu ya ibada. Elewa…

SEHEMU YA KWANZA

HII NDIYO DAWA, PONYO (POZO) LIKO WAPI? Allah Mola Mwenyezi anasema: “SOMA ULIYOLETEWA WAHYI KATIKA KITABU (hiki ulicholetewa) NA ISIMAMISHE SWALA. BILA SHAKA SWALA (ikiswaliwa vilivyo) HUMZUILIYA HUYO (mwenye kuswali…

MAMBO YALIYO HALALI KUFANYA NDANI YA SWALA

Mswaliji anaruhusiwa kisheria kufanya baadhi ya mambo akiwa ndani ya swala, kwa sharti kwamba kuwe na dharura ya kufanya hivyo. Anaruhusiwa kuyafanya mambo hayo katika hali hiyo ya dharura bila…

MAMBO YALIYO KARAHA NDANI YA SWALA

KANUNI: Kila linalopingana na suna yeyote miongoni mwa suna za swala tulizokwisha zibainisha katika darasa zilizotangulia. Hilo linaingia ndani ya uzio wa yaliyo karaha kutendwa ndani ya swala. Na makruhu…

MAMBO YANAYOBATILISHA SWALA

Swala ni miongoni mwa ibada tukufu kabisa, kwa hivyo inamuwajibikia kila muislamu wakati wa kuitekeleza ibada hii, kujipamba na ikhlaaswi, unyenyekevu na utulivu mkubwa kabisa. Na kuyaelekeza mawazo, akili na…

TOFAUTI YA MWANAMKE NA MWANAUME NDANI YA SWALA

“… BASI SIMAMISHENI SWALA NA TOENI ZAKA…”(22:78) Amri hii ya Allah Subhanahu Wata’alah kama ilivyo ndani ya kitabu chake kitukufu kinawahusu waumini wote; mwanamume na mwanammke. Sote tunakiri kuwa Bwana…

NAMNA YA KUSWALI

Baada ya kujifunza mambo mengi yahusianayo na swala, sasa ni vema tukajifunza namna ya kuswali ili kulitekeleza agizo la Mtume wa Alalh – Rehema na Amani zimshukie – lisemalo: “Swalini…

SUNNA ZILIZO(ZINAZOFUATIA) BAADA YA KUMALIZIKA SWALA

Hizi ni aina ya suna za swala ambazo huletea baada ya swala kumalizika. Hizi zinakusanya:- 1.  Kuleta Istighfaari, dhikri na dua. Imepokelewa kwamba Mtume Rehama na Amani zimshukie alikuwa anapomaliza…

HAY-AAT

Maana:           Hizi ni zilizomo ndani ya swala ambazo hakukusuniwa kuleta sijida mbili za kusahau iwapo mwenye kuswali ataacha kuzileta. 1.      Kunyanyua mikono wakati wa kuleta Takbiyra ya kuhirimia, kwenda na…