AYA YA WIKI (JUMA LA 71)

Ishi na muongozo na maelekezo ya Qur-ani, ufanikiwe duniani na akhera: Usipitwe na fursa ya kuwa miongoni mwa watu bora ambao: “Mbavu zao zinaachana na vitanda kwa kumuomba Mola wao…

HADITHI YA WIKI (JUMA LA 71)

“Atakaye kutana na Allah ilhali hakumshirikisha na chochote, ataingia peponi” Bukhaariy [129]-Allah amrehemu.

KATAZO LA WIKI (JUMA LA 71)

Mbona unakosa haya, kwa nini lakini huoni aibu, huoni vibaya kujivunjia heshima na kujidharaulisha mbele za watu?! Ni kwa lipi hasa hata uthubutu kuufanya mwili wako kuwa ni maonyesho kwa…

SWALI LA WIKI (JUMA LA 71)

SWALI: Nina msahafu mkongwe ambao karatasi zake zimechanika chanika na haufai tena kutumika katika kusoma Qur-ani. Niufanyeje msahafu huo na je sharia inaniruhusu kuuchoma? JIBU: Kwa kuwa msahafu haufai tena…

AYA YA WIKI (JUMA LA 70)

Ishi na muongozo na maelekezo ya Qur-ani, ufanikiwe duniani na akhera: Wasia wa Qur-ani kwa wale wote walio timiza umri wa miaka arobaini na kuendelea: “Na tumemuusia mwanaadamu kuwatendea wema…

HADITHI YA WIKI (JUMA LA 70)

“Hakika wamo miongoni mwa watu ambao (hao) ni funguo za mambo ya kheri na kufuli za mambo ya shari. Na hakika wamo miongoni mwa watu ambao (hao) ni kufuli za…

KATAZO LA WIKI (JUMA LA 70)

Kwa nini uwe muflisi akhera, kwa nini unafanya amali ili uonekane na watu, ili usifiwe na watu?! Kwani hao ndio watakao kupa jazaa ya matendo yako hayo?! Hapana, usifanye hivyo,…

SWALI LA WIKI (JUMA LA 70)

SWALI: Zama zetu za leo, hima na adabu ya watu katika ibada imeshuka kwa kiwango kikubwa. Utamuona mtu anachati au anaongea na mwenzake huku khatibu yuko juu ya mimbari anatoa…

SWALI LA WIKI(JUMA LA 66)

SWALI: Zama zetu za leo, hima na adabu ya watu katika ibada imeshuka kwa kiwango kikubwa. Utamuona mtu anachati au anaongea na mwenzake huku khatibu yuko juu ya mimbari anatoa…

AYA YA WIKI (JUMA LA 69)

Ishi na muongozo na maelekezo ya Qur-ani, ufanikiwe duniani na akhera:Hebu tuyatafakari pamoja maneno haya ya Mola Muumba wetu, kisha turejee na kujisalimisha kwake: “Sisi tumekuumbeni, basi hamsadiki? Je! Mnaiona…