V) MGAWANYO WA MAJI NA HUKUMU ZAKE

“Mwenyezi Mungu akimtakia kheri Mja humfahamisha (humpa elimu) kwenye dini” Hadith Tukufu Maji kwa kuzingatia sifa na hukumu zake yanagawanyika sehemu/mafungu matatu:- 1: MAJI TWAHUUR au MAJI MUTLAQ hili ndilo…

SOMO LA KUMI NA SABA SEHEMU YA SITA

MANDHARI NA MUONEKANO WA WAKANUSHAJI NA MAKAFIRI. “MANDHARI NA MUONEKANO WA WAKANUSHAJI NA MAKAFIRI” Shukrani na sifa zote njema ni milki na stahiki yake Allah Mola Muumba wa mbingu saba…

SOMO LA PILI (Iinaendelea) – NDOA

NDOA “KUTENGENEA KWA FAMILIA YAKO, NDIO KUTENGENEA KWA JAMII NA TAIFA LAKO” Sifa njema zote ni haki yake Allah; Mola wa viumbe vyote. Yeye pekee ndiye wa kuabudiwa na kuombwa.…

SOMO LA PILI – Kuibuka (kuanzishwa) na kukua kwa mji wa Makka.

Kuibuka (kuanzishwa) na kukua kwa mji wa Makka. Mpendwa msomaji wetu-Allah akurehemu-fahamu na uelewe ya kwamba, Historia ya mji wa Makka; kuibuka, kujengwa na kukua kwake haiandikiki na wala haielezeki…

AYA YA WIKI (JUMA LA 71)

Ishi na muongozo na maelekezo ya Qur-ani, ufanikiwe duniani na akhera: Usipitwe na fursa ya kuwa miongoni mwa watu bora ambao: “Mbavu zao zinaachana na vitanda kwa kumuomba Mola wao…

HADITHI YA WIKI (JUMA LA 71)

“Atakaye kutana na Allah ilhali hakumshirikisha na chochote, ataingia peponi” Bukhaariy [129]-Allah amrehemu.

KATAZO LA WIKI (JUMA LA 71)

Mbona unakosa haya, kwa nini lakini huoni aibu, huoni vibaya kujivunjia heshima na kujidharaulisha mbele za watu?! Ni kwa lipi hasa hata uthubutu kuufanya mwili wako kuwa ni maonyesho kwa…

SWALI LA WIKI (JUMA LA 71)

SWALI: Nina msahafu mkongwe ambao karatasi zake zimechanika chanika na haufai tena kutumika katika kusoma Qur-ani. Niufanyeje msahafu huo na je sharia inaniruhusu kuuchoma? JIBU: Kwa kuwa msahafu haufai tena…

SOMO LA KWANZA -TWAHARA

i/ MAANA YA TWAHARA KATIKA LUGHA YA SHERIA “Twahara” ni neno la Kiarabu lenye maana mbili; maana ya kilugha na maana ya kisheria. Twahara katika lugha ina maana ya unadhifu…

SOMO LA KWANZA – ASILI NA CHIMBUKO LA WAARABU NA USTAARABU (MAENDELEO) WAO.

“SIRA YA MTUME WA ALLAH; FALSAFA NA MAFUNDISHO YAKE” Kwa auni na msaada wake Allah Mola wetu Mkarimu, leo tena tunaendelea na mfululizo wa darasa zetu za Sira. Juma lililo…