SOMO LA TANO –01 MUHAMMAD; MTUME WA MWISHO-Rehema na Amani zimshukie-Na uhusiano/mafungamano ya ujumbe (da’awa) wake na jumbe za mbinguni zilizo tangulia.
“SIRA YA MTUME WA ALLAH; FALSAFA NA MAFUNDISHO YAKE” Mpendwa msomaji wetu-Allah akurehemu-ni juma jingine tena, kwa auni na uwezeshi wake Mola, tumekutana katika darsa zetu za Sira yake Bwana…