Uislamu ndio dini ya maumbile bila ya makindano. Yaani Uislamu ndio mfumo wa maisha unaokwenda sambamba na maumbile ya mwanadamu na ulimwengu wake. Kwa mantiki hii tunaweza kusema kwa kinywa…
Author: admin
NI MFUMO GANI KHASA WA MAISHA (DINI) ANAOUHITAJIA MWANADAMU?
Tumekuishaona kwamba dini ni mfumo Fulani wa maisha unaofuatwa na binadamu. Sasa suala linalojitokeza ni je, ni mfumo upi wa maisha (dini) unaomfaa mwanadamu? Tuanze kulijibu swali hili kwa kuanza…
KWA NINI DINI? (UMUHIMU WA DINI KATIKA MAISHA YA MWANADAMU)
Ingawa katika ulimwengu huu tuishimo kuna watu wanaoutaka ulimwengu uelewe kuwa mahitaji makuu ya msingi ya mwandamu ni maskani (nyumba), mavazi na chakula. Yaani ili mwanadamu aweze kuishi katika ulimwengu…
HISTORIA YA DINI
Baada ya kuiangalia kwa mukhtasari dhana na maana ya dini, hebu sasa tujiulize dini imeanzia wapi? Tukiichukulia dini kwa maana ya aina Fulani ya mfumo wa maisha uliochaguliwa na kufuatawa…
MAANA YA DINI
Wanadamu kama viumbe waliotofautiana katika maumbile (sura), lugha, rangi, hali za kimaisha, fikra na kadhalika. Wameielewa “dhana dini” kwa maana mbalimbali. Maana hizi ukizingatia kwa fikra za haraka haraka, fikra…
DINI
Kila sikio la mwanadamu aliyewahi kuishi, anayeishi na atakayekuja kuishi katika ulimwengu huu limepata kulisikia, linasikia na litalisikia neno “dini”. Neno hili “dini” neno fupi Kabisa, neno lenye herufi nne…
MISAMIATI
ADLKFADFAPO DFLKADFIOJDF DFAKLJFADF DFDFADF DFFNAKLFN DFAKFKJDFH DFKDFJKAKFDJ DFNKNDFKJANDF DFJKNDFNKDNF DFJNNDFKJNDF DFKNDKJFN DKFNKNDFK
KARIBU KATIKA MTANDAO WA UISLAMU
“Soma kwa jina la Mola wako Mlezi aliye umba, Amemuumba binaadamu kwa tone la damu, Soma! Na Mola wako Mlezi ni Karimu kushinda wote! Ambaye amefundisha kwa kalamu. Kamfundisha mtu…
