Zingatia suna hizi zilizo ndani ya swala katika vigawanyo (sehemu) viwili vifuatavyo:-
i/. AB-AADH na
ii/. HAY-AAT
Hebu sasa, baada ya kujua mgawanyiko wa suna zilizomo ndani ya swala, tuangalie maana ya kila kigwanyo na ufafanuzi wa suna zilizo chini yake.