Ndugu mwana jukwaa-Allah akurehemu-tuendelee kuishi na kipengele kingine chini ya mada yetu mama kama ilivyo hapo juu. Allah Mtukufu anasema: “Siku tutakayo wakusanya wachaMngu kuwapeleka kwa Arahmani Mwingi wa…
Category: DONDOO ZA WIKI
MASURUFU (GHARAMA ZA KUJIKIMU/MAHITAJI)
Masurufu ni tafsiri ya moja kwa moja ya neno la Kiarabu “NAFAQAH” ambalo limetwaliwa kutoka katika neno “AL-INFAAQ” ambalo kimsingi linamaanisha “UTOAJI/KUTOA” na “KUTUMIA/UTUMIZI”. Na neno hilo halitumiwi ila katika…
WITO WA KUHUKUMIANA KWA KITABU CHA ALLAH
Muawiyah na Amrou bin Al-Aaswi wakauona uchovu na ukimwa wa vita ulio jitokeza katika jeshi lao, kufuatia hali hiyo Amrou akasema: Tuwalinganie kwenye kitabu cha Allah, pawepo na hakimu (muamuzi/msuluhishi)…
KIYAMA: HEBU TUSAWIRISHE PAMOJA MANDHARI HII YA KUTISHA
Ndugu mwana jukwaa-Allah akurehemu-hebu sote kwa pamoja tusawirishe na tuitie akilini na fikrani mwetu mandhari ya kutisha na kuogofya, kisha tuzingatie. Hebu tuyaone hayo ndio makaburi yanapasuka kila upande wa…
VITA VYA SWIFFIIN…Inaendelea
Kipindi cha kutoingia vitani kilipo malizika, Sayyidna Aliy-Allah amuwiye radhi-akamuamuru mpiga mbiu kupiga mbiu (aseme): Enyi watu wa Shamu nyie! Amirul-Muuminina anakuambieni ya kwamba yeye alikupeni muda ili mpate kuichunga…
HUKUMU ZA EDA NA LAZIMA ZINAZOWAJIBISHWA HAYO
Ziko hukumu na lazima zinazo wajibishwa na eda ambazo tunazibainisha kama ifuatavyo: Mosi: Eda ya talaka/kuachwa: Atakapo kuwa mwanamke anamkalia eda mume wake, eda ya kuachwa. Basi ama kuachwa…