KUITIDALI BAADA YA RUKUU

Hii ndiyo nguzo ya sita katika mlolongo wa nguzo za swala. Na kuitadili maana yake ni kusimama na kulingana sawa baada ya kuinuka kutoka rukuu. Kwa hiyo tunaweza kabisa kusema…

RUKUU

Nini rukuu. Katika sheria, rukuu ni kuinama mwenye kuswali kiasi cha vitanga vyake kugusa magoti yake. Huu ndio uchache wa rukuu. Ama ukamilifu wake ni kuinama kiasic ha mgongo kulingana…

KUSOMA AL-HAMDU

Inakupasa ufahamu kwamba kusoma Al-hamdu, ndio nguzo ya nne ya swala yeyote ile iwayo ya suna au ya fardhi na ni katika kila rakaa. Nguzo hii inamuwajibikia Imamu, maamuma na…

TAKBIRA YA KUHIRIMIA

Takbira ya kuhirimia ya swala ndio nguzo ya tatu ya swala, hii ni kusema wakati wa kuingia ndani ya swala  ALLAAHU AKBAR. Hili linatokana na tendo lake mwenyewe Bwana Mtume…

KUSIMAMA KWA MWENYE KUWEZA KATIKA SWALA YA FARADHI

Kuswali kwa kusimama katika swala ya fardhi ndiyo nguzo ya pili ya swala. Nguzo hii inamuhusu mtu aliye mzima, anayeweza kusimama bila ya taabu. Haya ni kwa  mujibu wa kauli…

NIA

Hii ndiyo nguzo ya kwanza ya swala. Maana ya nia kwa ujumla.  Hili ni kusudio la kutenda jambo/kitu Fulani hali ya kulikutanisha kusudio hilo na kitendo makusudi (kilichokusudiwa) Maana ya…

NGUZO ZA SWALA

Maana ya nguzo.  Kabla hatujaanza kuzielezea na kuzichambua nguzo za swala moja baada ya nyingine ni vema kwanza tukajua nguzo ni nini nguzo ya kitu ni ile sehemu ya msingi…

KUELEKEA QIBLAH

Hii ndio sharti ya nne na ya mwisho miongoni mwa sharti za kusihi swala. Makusudi ya Qiblah ni Alka’aba tukufu; yaani Qiblah kiwe mbele yake makati wa kusali akielekee. Mafaqihi;…

KISITIRI UTUPU – UCHI

Hii ndio sharti ya tatu miongozi mwa zile sharti nne za kusihi kwa suala.  Ili  tuweze kuijua vema sharti hii hatuna budi kwanza  tuyajue mambo yafuatayo: i)                   maana ya utupu…

ELIMU / MAARIFA KUINGIA WAKATI WA SWALA

Hii ndio sharti ya pili ya kusihi kwa swala umekwishajua kutokana na maelezo ya darasa zilizotangulia kwamba kila swala ya fardhi ina wakati wake maalum.  Ili swala  yako isihi ni…