KATAZO LA WIKI (JUMA LA 84)

Unabweteka; hutaki kufanya amali njema zikufae leo hapa duniani kabla ya kesho mbele ya Mola wako Mlezi?! Ikiwa unaamini na kukiri kwamba vyote ulivyo navyo leo hapa juu ya mgongo…

SWALI LA WIKI (JUMA LA 84)

SWALI: Je, mwanamke analazimika kutoa huduma binafsi kwa mumewe mithili ya kumpikia, kumfulia na baki ya majukumu mengine ya nyumbani? JIBU: Jumuhuri ya Wanazuoni wakiwemo wale wa Kishafi wamefuata madhehebu…

HEDHI

a) MAANA YA HEDHI Hedhi katika lugha ya kiarabu, maana yake ni KUCHURIZIKA. Ama hedhi kwa mtazamo wa sheria ni DAMU YA MAUMBILE yaani damu hii ni sehemu/ni katika jumla…

AYA YA WIKI (JUMA LA 83)

ISHI NA MUONGOZO NA MAELEKEZO YA QUR-ANI, UFANIKIWE DUNIANI NA AKHERA: Uone uwezo na uumbaji wa Mola wako ili upate kumtukuza na kumuabudu: “ALLAH HUBADILISHA USIKU NA MCHANA. HAKIKA KATIKA…

HADITHI YA WIKI (JUMA LA 83)

Imepokewa kutoka kwa Abu Huraira-Allah amuwiye radhi-ya kwamba Mtume wa Allah-Rehema na Amani zimshukie-amesema: “Atakapo tawadha mja muislamu – au muumini – akaosha uso, litatoka usoni mwake pamoja na maji…

KATAZO LA WIKI (JUMA LA 83)

Ubakhili/unyimi kwa upande mmoja na ubadhirifu kwa upande wa pili si katika tabia za muislamu, aslani. Allah amekuchagua miongoni mwa waja wake wengi akakunjulia riziki, unacho cha kukutosha na ziada.…

SWALI LA WIKI (JUMA LA 83)

SWALI: Mke amefiwa na mume wake, je akae muda gani katika kumuhuzunikia marehemu mume wake? JIBU: Kisheria, muda ambao ni wajibu mke akae kwa ajili ya kumuhuzunikia marehemu mume wake,…

AYA YA WIKI (JUMA LA 82)

ISHI NA MUONGOZO NA MAELEKEZO YA QUR-ANI, UFANIKIWE DUNIANI NA AKHERA Unasubiri nini kuingia kwenye kundi la Waumini, wahi ufaidike kabla hujachelewa: “HAKIKA ALLAH ATAWAINGIZA WALIO AMINI NA WAKATENDA MEMA…

HADITHI YA WIKI (JUMA LA 82)

“Twahara ni nusu ya Imani, na Alhamdulillaah inajaza mizani (ya amali za mja). Na Sub-haanallah na Alhamudilillaah zinajaza – au inajaza kilichopo baina ya mbingu na ardhi. Na swala ni…

KATAZO LA WIKI (JUMA LA 82)

Swala ni amri ya Mola Muumba wako, anataka umsujudie kila siku sijida thelathini na nne za faradhi ukiachilia mbali zile za sunna. Kwa nini ujitoe kwenye jina zuri alilo kupa…