SWALI LA WIKI (JUMA LA 82)

SWALI: Mchinjaji na muuza nyama wa kitongoji/mji wetu, haswali wala hafungi Ramadhani na pamoja na hayo yeye anatenda aliyo yakataza Mola; anavaa dhahabu (pete na mkufu) na anafanya ghushi (anapunja)…

MAMBO YALIYO HARAMU KWA MWENYE JANABA

Mtu akipatwa na janaba kwa maana ya janaba kama tulivyoeleza katika maelezo yetu ya awali yanamuharimikia kwa mujibu wa sheria mambo yafuatayo:-1. Kuswali swala ya fardhi au ya sunnah. Hili…

AYA YA WIKI (JUMA LA 81)

ISHI NA MUONGOZO NA MAELEKEZO YA QUR-ANI, UFANIKIWE DUNIANI NA AKHERA Acha ubishi, Kiyama kinakuja na kipo karibu mno kuliko unavyoweza kufikiria, mche Mola wao: “SAA IMEKARIBIA, NA MWEZI UMEPASUKA!…

HADITHI YA WIKI (JUMA LA 81)

“Siku bora zaidi iliyo chomozewa na jua ni siku ya Ijumaa; ndani ya siku hiyo Allah alimuumba Adam (baba yetu), ndani yake alimkubalia toba yake, ndani ya siku hiyo akiteremshwa…

KATAZO LA WIKI (JUMA LA 81)

Kwa nini hufikiri kwanza kabla ya kutenda/kufuata?! Kwa nini umekuwa ni muhanga wa kuzolewa na ufuataji wa kibubusa?! Kwa nini unakuwa mtumwa wa viongozi/watu wakubwa, kila wanalo sema wewe unafuata…

SWALI LA WIKI (JUMA LA 81)

SWALI: Katika hospitali za umma, hutolewa huduma ya chakula kwa wagonjwa walio lazwa hapo. Swali, je kunajuzu mfanyakazi wa hospitali hiyo kula chakula cha wagonjwa pale kinapo bakia? JIBU: Chakula…

SOMO LA NNE-JOSHO/KUKOGA

i) MAANA YA JOSHO: Neno JOSHO/KUKOGA ni matokeo ya tafsiri ya neno la kiarabu GHUSLU. Neno hili lina maana mbili; ya kilugha na kisheria. Kwa mtazamo wa kilugha josho/kukoga ni…

AYA YA WIKI (JUMA LA 80)

ISHI NA MUONGOZO NA MAELEKEZO YA QUR-ANI, UFANIKIWE DUNIANI NA AKHERA Acha ubishi, Kiyama kinakuja na kipo karibu mno kuliko unavyoweza kufikiria, mche Mola wao: “Enyi watu! Ikiwa ninyi mna…

HADITHI YA WIKI (JUMA LA 80)

“Mbora wa watu ni yule mwenye moyo msafi (ulio salimika) na ulimi ulio mkweli. Wakauliza Maswahaba: Mwenye ulimi ulio mkweli tunamjua, basi ni yupi yule mwenye moyo msafi? Akajibu: Huyo…

KATAZO LA WIKI (JUMA LA 80)

Ubakhili ni wa nini na mpaka lini huo ubakhili wako. Tangu umeamua kuwa bakhili mpaka leo umepata faida gani?! Acha ubakhili, kwani kuwa bakhili ni kujinyima mwenyewe fursa ya kuipata…