ISHI NA MUONGOZO NA MAELEKEZO YA QUR-ANI, UFANIKIWE DUNIANI NA AKHERA
Unasubiri nini kuingia kwenye kundi la Waumini, wahi ufaidike kabla hujachelewa: “HAKIKA ALLAH ATAWAINGIZA WALIO AMINI NA WAKATENDA MEMA KATIKA BUSTANI ZIPITAZO MITO KATI YAKE. HAKIKA ALLAH HUTENDA ATAKAYO”. Al-Hajji [22]:14