KATAZO LA WIKI (JUMA LA 84)

Unabweteka; hutaki kufanya amali njema zikufae leo hapa duniani kabla ya kesho mbele ya Mola wako Mlezi?! Ikiwa unaamini na kukiri kwamba vyote ulivyo navyo leo hapa juu ya mgongo wa ardhi hutaondoka navyo, bali utaviacha kwa warithi wako. Nini basi kitakufaa: “SIKU AMBAYO KILA NAFSI ITAKUJA JITETEA, NA KILA NAFSI ITALIPWA SAWA SAWA NA AMALI ILIZO ZIFANYA, NAO HAWATADHULUMIWA”. An-Nahli [16]:111

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *