SWALI: Nimepata kusikia kwenye mojawapo na darsa za misikitini ya kwamba mtu akikosa maji anatakiwa kutayamamu. Naomba kujua namna ya huko kutayamamu. JIBU: Uliyo yasikia ni sahihi kabisa, mtu akiwa…
Author: admin
SABABU ZA KUTAYAMMAMU
Muislamu hatayamamu kwa sababu tu amejisikia kufanya hivyo, akaacha kutawadha. Bali uislamu umeweka hali na mazingira maalumu, ambamo humo ndimo mtu anaruhusiwa kuitumia na kuitekeleza sheria hii ya tayamamu. Hali…
AYA YA WIKI (JUMA LA 85)
ISHI NA MUONGOZO NA MAELEKEZO YA QUR-ANI, UFANIKIWE DUNIANI NA AKHERA: Uone uwezo na uumbaji wa Mola wako ili upate kumtukuza na kumuabudu: “NA ALLAH AMEUMBA KILA KINYAMA KUTOKANA NA…
HADITHI YA WIKI (JUMA LA 85)
Imepokewa kutoka kwa Uthmaan bin Affaan-Allah amuwiye radhi-amesema: Mtume wa Allah-Rehema na Amani zimshukie-amesema: “Atakaye tawadha kwa ajili ya swala, kisha akapiga hatua kwenda kuswali swala ya faradhi, akaiswali pamoja…
KATAZO LA WIKI (JUMA LA 85)
Kwa nini lakini uumie kwa kipato cha mwenzako?! Kwani wewe huamini ya kwamba kipato alicho nacho ni riziki aliyo pewa na Mola wake kwa hekima anazo zijua Yeye Mwenyewe?! Kwa…
SWALI LA WIKI (JUMA LA 85)
SWALI: Katika maisha yangu, nimetenda niliyo tenda katika maasi/madhambi; nimeacha swala, nimeiba, nimezini, nimekula riba, nime…, nime… Dhamiri yangu inanisuta na kuniuma sana na sasa ninaswali. Je, swala yangu ya…
SOMO LA TANO-KUTAYAMMAMU
i) WEPESI WA UISLAMU NA MAANA YA KUTAYAMAMU Tumekwishajua kutokana na maelezo ya masomo yaliyopita kwamba udhu ni sharti ya kusihi kwa swala, tawafu (ibada ya kuizunguka Al -kaabu), kuushika…
MAMBO YALIYO HARAMU KWA MWENYE HEDHI
1. Kuswali. Kwa ushahidi wa hadithi hiyo ya Fatmah Bint Abiy Hubaysh tuliyoitaja hapo katika Istihaadha. Imepokelewa riwaya kutoka kwa Fatmah Bint Abiy Hubaysh – Allah amuwiye radhi – kwamba…
AYA YA WIKI (JUMA LA 84)
ISHI NA MUONGOZO NA MAELEKEZO YA QUR-ANI, UFANIKIWE DUNIANI NA AKHERA: Unasubiri nini kuingia kwenye kundi la Waumini, wahi ufaidike kabla hujachelewa: “NA WALIO AMINI NA WAKATENDA MEMA, KWA YAKINI…
HADITHI YA WIKI (JUMA LA 84)
“Yaepukeni mambo matatu yenye kuleta laana; kwenda haja kwenye mapito ya maji, katikati ya njia na penye kivuli”. Abu Daawoud [26], Ibn Maajah [327] na Ahmad [01/299]-Allah awarehemu.
