ISHI NA MUONGOZO NA MAELEKEZO YA QUR-ANI, UFANIKIWE DUNIANI NA AKHERA:
Uone uwezo na uumbaji wa Mola wako ili upate kumtukuza na kumuabudu: “ALLAH HUBADILISHA USIKU NA MCHANA. HAKIKA KATIKA HAYO YAPO MAZINGATIO KWA WENYE KUONA”. An-nuur [24]:44