SOMO LA KUMI NA SITA

MANDHARI NA VITISHO VYA SIKU YA KIYAMA Ewe Mola wetu! Ni zako Wewe tu sifa njema zote na shukrani zote. Ni zako Wewe tu sifa njema zote kwa namna inayo…

Mauaji ya Sayyidna Aliy

Mnamo mwaka wa 40 Hijiriya, Allah Ataadhamiaye alimpumzisha khalifa wa Mtume wake; Sayyidna Aliy, kutokana na mizozo endelevu hii na tofauti sugu hizo zilizo ugubika umma wa Kiislamu. Akamchanganya na…

RAMADHANI 1442-JUKWAA LA 05

“WAISLAMU TUNAPASWA, TENA KWA NJIA YA WAJIBU, KUIJUA THAMANI YA MSIMU HUU WA KIROHO ILI TUFAIDIKE NAO” Sifa zote njema na takasifu ni zake Allah; aliye juu na Mkuu ambaye…

AYA YA WIKI

Ishi na muongozo na maelekezo ya Qur-ani, ufanikiwe duniani na akhera:Uone uwezo wa Allah; Mola Muumba wako, acha kiburi, muabudu Mola wako upate ihepa adhabu kali isiyo wezwa na kiumbe…

HADITHI YA WIKI

“Mtume wa Allah-Rehema na Amani zimshukie-alimbusu (mjukuu wake) Hassan bin Aliy na mbele yake alikuwepo Al-Aqra’a bin Haabis wa kabila la Tamim, amekaa. Akasema Al-Aqra’a: Hakika mimi nina watoto kumi,…

KATAZO LA WIKI

Acha ajizi na uvivu, baada ya kutekeleza yale aliyo kufaradhishia Mola Muumba wako, usipitwe na fursa ya kujikurubisha kwake kupitia amali mbali mbali za Sunna. Jipendekeze kwa Mola wako ili…

SWALI LA WIKI

SWALI: Msikitini kwetu tunaswalishwa na Imamu ambaye kwa kweli mimi binafsi siridhiki nae; sina imani nae. Je, nini hukumu ya swala yangu nyuma ya Imamu huyu, swala yangu ni sahihi?JIBU:…

MANDHARI NA VITISHO VYA SIKU YA KIYAMA.

Kuhimidiwa na kutukuzwa kunamstahikia Allah; Mola Mlezi wa viumbe wote, ambaye ametuneemesha kwa neema ya Imani na Uislamu. Na Rehema na Amani zimuendee Bwana wa ulimwengu; Mtume wetu Muhammad. Na…

KUUWAWA KWA MUHAMMAD, MTOTO WA SAYYIDNA ABUBAKARI

Ulipo wadia mwaka wa thelathini na nane, Muawiyah akamtuma Amrou bin Al-Aaswi kukiongoza kikosi cha askari elfu sita, kwenda Misri. Amrou akaenda mpaka akapiga kambi katika nyanda za chini za…

Tujiandae na ramadhan

“HUJACHELEWA, ANZA LEO KUJIANDAA KUUPOKEA MWEZI WA RAMADHANI NA KUIPATILIZA FURSA HIYO YA MWAKA HATA MWAKA” Sifa zote njema na takasifu ni zake Allah; Mola Mlezi wa viumbe vyote ambaye…