KIYAMA: KILA MTU ATAKUWA NA LINALOMTOSHA SIKU HIYO

  Ndugu mwana jukwaa-Allah akurehemu-tuendelee kuishi na kipengele kingine chini ya mada yetu mama kama ilivyo hapo juu. Allah Mtukufu anasema: “Siku tutakayo wakusanya wachaMngu kuwapeleka kwa Arahmani Mwingi wa…

MASURUFU (GHARAMA ZA KUJIKIMU/MAHITAJI)

Masurufu ni tafsiri ya moja kwa moja ya neno la Kiarabu “NAFAQAH” ambalo limetwaliwa kutoka katika neno “AL-INFAAQ” ambalo kimsingi linamaanisha “UTOAJI/KUTOA” na “KUTUMIA/UTUMIZI”. Na neno hilo halitumiwi ila katika…

WITO WA KUHUKUMIANA KWA KITABU CHA ALLAH

Muawiyah na Amrou bin Al-Aaswi wakauona uchovu na ukimwa wa vita ulio jitokeza katika jeshi lao, kufuatia hali hiyo Amrou akasema: Tuwalinganie kwenye kitabu cha Allah, pawepo na hakimu (muamuzi/msuluhishi)…

SWALI LA WIKI

SWALI: Imekua ni ada na mazoea ya miaka mingi katika baadhi ya jamii, anapo fariki mmoja wao, ndugu na jamaa hukusanyika kwenye nyumba ya msiba, kwa ajili ya kuwafariji na…

KATAZO LA WIKI

  Unalalamika maisha yamekuwa magumu na kumbe ugumu huo unausababisha wewe mwenyewe kutokana na matendo yako mabaya! Ni lipi khasa linalo kufanya uwe mbali na ndugu zako, ni elimu uliyo…

HADITHI YA WIKI

  “Mtu mmoja alipo kuwa anatembea akazidiwa na kiu, akateremka kisimani, akanywa maji kisimani humo, kisha akatoka. Mara akamuona mbwa kinywa wazi, ulimi nje, anakula mchanga kutokana na kiu. Yule…

AYA YA WIKI

Ukitenda dhambi, basi tambua ya kwamba huidhuru ila nafsi yako: “Na anaye chuma dhambi, basi ameichumia nafsi yake mwenyewe. Na Allah ni Mjuzi, Mwenye hikima”. An-nisaa [04]:111

BARA ARABU WAKATI WA MTUME WAKAZI WAKE

Bara Arabu lipo upande wa kusini wa Bara la Asia. Bara hili ndilo makazi ya Waarabu tangu kale na mpaka sasa kinaishi humo kizazi cha Waarabu. Maelfu ya miaka Waarabu…

UTANGULIZI SIRA YA MTUME

SIRA NI NINI? Sira ni fani inayojishughulisha kuelezea maisha ya Nabii Muhammad tangu kuzaliwa mpaka kufa kwake, ikiwa ni pamoja na malezi na makuzi yake, wasifu wake wa kimaumbile, tabia…

UBORA WA ELIMU NA FAIDA YA KUSOMA

UBORA WA ELIMU Elimu ndio pambo tukufu na lenye thamani kushinda/kuliko mapambo yote anayojipamba nayo mwanadamu. Elimu ndio mwangaza na taa pekee inayomuangazia mwanadamu katika maisha ya ulimwengu huu. Elimu…