AYA YA WIKI

Ishi na muongozo na maelekezo ya Qur-ani, ufanikiwe duniani na akhera:
Uone uwezo wa Allah; Mola Muumba wako, acha kiburi, muabudu Mola wako upate ihepa adhabu kali isiyo wezwa na kiumbe yeyote: “Je! Mnayaona maji mnayo yanywa? Je! Ni nyinyi mnayo yateremsha kutoka mawinguni au ni Sisi ndio wenye kuyateremsha? Tungeli penda tungeli yafanya ya chumvi. Basi mbona hamshukuru?” Al-Waaqi’ah [56]:68-70

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *