MANDHARI NA VITISHO VYA SIKU YA KIYAMA. Mstahiki wa kuhimidiwa na kutukuzwa ni Allah; Mola Muumba wetu, nasi waja wake hatuwezi kumuhimidi na kumtukuza ila kwa kuwezeshwa naye. Ewe Mola…
Author: admin
RAMADHANI 1442-JUKWAA LA 06
“MWEZI WA RAMADHANI, ZIMO NDANI YAKE NEEMA ZA ALLAH KWA WAJA WAKE ZISOZO HESABIKA WALA KUDHIBITIKA” Sifa zote njema anastahiki Allah ambaye ametuongoza katika dini hii na hatungekuwa ni wenye…
AYA YA WIKI (JUMA LA 60)
Ishi na muongozo na maelekezo ya Qur-ani, ufanikiwe duniani na akhera: Ishi kama atakavyo Mola Muumba wako na si kama yatakavyo matashi na matamanio yako, ili usije kujuta na kusaga…
HADITHI YA WIKI (JUMA LA 60)
“Si mwongo yule anaye wasuluhisha watu kwa kuzua khabari nzuri au kusema khabari nzuri”. Bukhaariy [03/857]
KATAZO LA WIKI (JUMA LA 60)
Hivi bado tu haujafika wakati wa kurejea kwa Mola wako, ukamdhukuru, ukamuomba maghufira na ukatubia kwa mengi maovu uliyo yatenda?! Kumbuka: “Allah Aliyetukuka anasema: Mimi niko vile atakavyo nidhania kuwa…
SWALI LA WIKI (JUMA 60)
SWALI: Nimekuwa nikisikia sana katika mazungumzi ya watu, wakisema neno “Istikhaara”, naomba kujua maana na makusudio ya neno hilo katika mtazamo wa dini yetu tukufu. JIBU: Kwanza yataka ufahamu ya…
AYA YA WIKI (JUMA 59)
Ishi na muongozo na maelekezo ya Qur-ani, ufanikiwe duniani na akhera: Uone uwezo wa Allah; Mola Muumba wako, acha kiburi, muabudu Mola wako upate ihepa adhabu kali isiyo wezwa na…
HADITHI YA WIKI (JUMA 59)
“Haimsibu muislamu taabu, wala maradhi, wala maumivu, wala jakamoyo, wala huzuni, wala kero, wala kukosa raha na hata mwiba unaomchoma, ila Allah atalifanya (hilo lililo msibu) kuwa ni kafara la…
KATAZO LA WIKI (JUMA 59)
Wewe huna matendo mema, basi kwa nini hujitahidi angalau kuwapenda watu wema?! Kwani hujui ya kwamba ukiwapenda watu wema, utatiwa katika kundi lao hata kama huna matendo mema kama yao?!…
SWALI LA WIKI (JUMA 59)
SWALI: Katika zama zetu hizi za leo, tunaona watu wakiswali swala za Eid viwanjani au hata barabarani mbele ya msikiti. Naomba kujua sharia inasemaje kuhusiana na jambo hili? JIBU: Ilivyo…
