HADITHI YA WIKI (JUMA LA 62)

“Jibrilu aliendelea kuniusia kumfanyia wema jirani mpaka nikadhani kuwa atakuwa mrithi wangu au atapewa haki ya kunirithi”. Bukhaariy [08/43]

KATAZO LA WIKI (JUMA LA 62)

Eti kwa kuwa umeswali sana miaka mingi, umefunga sana faradhi na sunna, umehiji na kufanya umra mara nyingi, umejenga misikiti na madrasa, umetoa sana sadaka, na … na …. Basi…

SWALI LA WIKI (JUMA LA 62 )

SWALI: Je, sharia inaruhusu kutoa fungu katika mali ya marehemu kuwapa ndugu/jamaa zake mafakiri na wenye shida? JIBU: Namna/njia ya kugawa zaka imeshabainishwa na Qur-ani Tukufu kupitia kauli yake Mola…

“LAILATUL-QADRI NI BORA KULIKO MIEZI ELFU MOJA”

Sifa na Shukurani zote njema ni zake Mola Muumba wetu ambaye Yeye ndiye aliyesema: “Hakika Sisi tumeiteremsha Qur’ani katika Lailatul-Qadri, usiku wa cheo kitukufu. Ni nini kitacho kujulisha Lailatul-Qadri? Lailatul-Qadri…

SOMO LA KUMI NA NANE

MANDHARI NA VITISHO VYA SIKU YA KIYAMA. “Ametukuka ambaye mkononi mwake umo ufalme wote, na Yeye ni Mwenye uweza juu ya kila kitu. Ambaye ameumba mauti na uhai ili kukujaribuni…

AYA YA WIKI (JUMA LA 61)

Ishi na muongozo na maelekezo ya Qur-ani, ufanikiwe duniani na akhera: Tambua ya kwamba kitabu cha amali zako utakacho pewa siku ya Kiyama, unakiandika mwenyewe kupitia matendo yako, epuka kupewa…

HADITHI YA WIKI (JUMA LA 61)

“Mmoja wenu asimuashirie silaha ndugu yake, kwa sababu hajui huenda shetani akaitowa mkononi mwake, akaingia kwenye shimo la moto”. Bukhaariy [09/193]

KATAZO LA WIKI (JUMA LA 61)

Kwa nini lakini ulimi wako unakuwa mwepesi mno katika mambo ya kipuuzi na unakuwa mzito mno katika kufanya dhikri?! Kwa nini huishukuru neema ya ulimi kwa kumdhukuru aliye kupa neema…

SWALI LA WIKI (JUMA LA 61)

SWALI: Mwanamke yumo katika hedhi, je ni halali kwake kumdhukuru Allah kwa kuleta mfano Tahalili (Laa ilaaha illal-laah), Tahmiidi (Al-hamdulillaah), Tasbihi (Sub-haanallaah) na Takbiiri (Allaahu Akbaru)? JIBU: Hedhi na nifasi…

MAKALA MAALUM – VITA VYA BADRI

VITA VYA BADRI-IJUMAA, RAMADHANI 17/02 A.H. {13th MARCH/624 A.D.}Allah Mtukufu anasema:“NA ALLAH ALIKUNUSURUNI KATIKA (vita vya) BADRI, HALI NYINYI MLIKUWA DHAIFU. BASI MCHENI ALLAH ILI MPATE KUSHUKURU (kila wakati kwa…