Ishi na muongozo na maelekezo ya Qur-ani, ufanikiwe duniani na akhera:
Uone uwezo wa Allah; Mola Muumba wako, acha kiburi, muabudu Mola wako upate ihepa adhabu kali isiyo wezwa na kiumbe yeyote: “Je! Mnauona moto mnao uwasha? Ni nyinyi mlio uumba mti wake au Sisi ndio Waumbaji? Sisi tumeufanya uwe ni ukumbusho na manufaa kwa walioko nyikani. Basi litakase jina la Mola wako Mlezi aliye Mkuu”. Al-Waaqi’ah [56]:70-74