HADITHI YA WIKI (JUMA 59)

“Haimsibu muislamu taabu, wala maradhi, wala maumivu, wala jakamoyo, wala huzuni, wala kero, wala kukosa raha na hata mwiba unaomchoma, ila Allah atalifanya (hilo lililo msibu) kuwa ni kafara la (kuondosha na kufuta) makosa yake”. Bukhaariy [07/545]

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *