“SIRA YA MTUME WA ALLAH; FALSAFA NA MAFUNDISHO YAKE” Naam, ni juma jingine ambalo kwa uwezo wake Mola ametukutanisha tena katika darsa letu hili la Sira yake Bwana wetu Mtume…
Author: admin
SOMO LA KUMI NA NANE-04
“MANDHARI NA MUONEKANO WA WATENDA MAASI SIKU YA KIYAMA” Sifa zote njema ni zake Allah; Mola Mlezi wa viumbe vyote, sifa zinazo kidhi neema zake na kutosheleza ziada zake. Allah…
SOMO LA NNE –01- MATUKIO MUHIMU KABLA YA KUZALIWA KWA BWANA MTUME-Rehema na Amani zimshukie.
“SIRA YA MTUME WA ALLAH; FALSAFA NA MAFUNDISHO YAKE” Naam, ndugu mwana darsa-Allah akurehemu-juma hili tena kwa fadhila zake Allah Mtukufu tumekutana katika kuendelea na mfululizo wa darsa zetu za…
SOMO LA NNE-POSA
“KUTENGENEA KWA FAMILIA YAKO, NDIO KUTENGENEA KWA JAMII NA TAIFA LAKO” Sifa zote njema zimuendee Mola Mlezi wetu kwa Hidaya zake za wazi na zilizo fichikana azitoazo wakati wote. Na…
SOMO LA KUMI NA NANE-03, Mutakabirina; Wanao fanya kiburi, majivuno na jeuri
Himda na shukrani zote njema ni stahiki yake Allah; Mwenye utukufu na ukuu, Mstahiki wa himda na sifa zote za ukamilifu, azali na milele. Ambaye Yeye ndiye: “Anajua khiyana ya macho na…
SOMO LA TATU-UDHU
i) MAANA YA UDHU : Tamko/Neno udhu linafasirika katika lugha ya kiarabu kama wema, uzuri na ung’avu. Ama maana ya udhu katika istilahi ya wanazuoni wa fani ya Fiq-hi; udhu…
SOMO LA PILI-04 , Malengo/Makusudio ya ndoa.Inaendelea
“KUTENGENEA KWA FAMILIA YAKO, NDIO KUTENGENEA KWA JAMII NA TAIFA LAKO” Sifa njema zote ni haki yake Allah; Mola wa viumbe vyote. Yeye pekee ndiye wa kuabudiwa na kuombwa. Rehema…
SOMO LA TATU – HALI YA BARA ARABU WAKATI WA KUPEWA UTUME MUHAMMAD – Rehema na Amani zimshukie.
“SIRA YA MTUME WA ALLAH; FALSAFA NA MAFUNDISHO YAKE” Naam, kwa mara nyingine tena, Mola wetu Mtukufu anatukutanisha katika darasa letu la Sira, ili litusaidie kumjua Mtume wetu na dini…
SOMO LA KUMI NA NANE -02 , Wale wanao kula mali ya yatima kwa dhulma
Alhamdulillah! Kuhimidiwa ni kwa Allah! Ambaye amesema na kauli yake ni haki: “Leo kila nafsi italipwa kwa iliyo yachuma. Hapana dhulma leo. Hakika Allah ni Mwepesi wa kuhisabu”. Na amani…
AYA YA WIKI (Juma la 75)
Ishi na muongozo na maelekezo ya Qur-ani, ufanikiwe duniani na akhera: Miongoni mwa mambo yanayo pelekea kuongezeka kwa riziki/kipato, ni kutoa sana sadaka: “Sema: Kwa hakika Mola wangu Mlezi humkunjulia…
