Sharti za kusihi udhu, haya ni mambo ambayo mwenye kutawadha ayahakikishe kwanza kabla hajaanza kutawadha, ili udhu wake uweze kusihi na kukubalika kisheria. Miongoni mwa sharti muhimu kabisa za udhu…
Author: admin
SOMO LA NNE –04 MATUKIO MUHIMU KABLA YA KUZALIWA KWA BWANA MTUME-Rehema na Amani zimshukie.
“SIRA YA MTUME WA ALLAH; FALSAFA NA MAFUNDISHO YAKE” MASOMO, MAZINGATIO NA FAIDA ZIPATIKANAZO KWENYE TUKIO LA NDOVU. 7. Kisa cha watu wa ndovu ni miongoni mwa dalili za utume:…
SWALI LA WIKI (JUMA LA 76)
SWALI: Je, baba au kaka anayo haki ya kutumia au kula mahari ya binti au dada yake? JIBU: Lazima ifahamike na ieleweke na wazazi na ndugu wa Bi. Harusi bali…
KATAZO LA WIKI (JUMA LA 76)
Acha ajizi na uvivu, kwa nini lakini unajinyima mwenyewe fursa ya kujizolea thawabu lukuki kwa amali ndogo kabisa, ambayo wewe unaiweza pasina kukuletea mashaka?! Hivi ni kweli wewe unashindwa kuswali…
HADITHI YA WIKI (Juma la 76)
“Atakapo tawadha mja muislamu – au muumini – akaosha uso wake, basi hutoka pamoja na maji hayo kila dhambi aliyo ipata kwa kuangalia kwa macho yake – au pamoja na…
AYA YA WIKI (Juma la 76)
Ishi na muongozo na maelekezo ya Qur-ani, ufanikiwe duniani na akhera: Unasubiri nini kuingia kwenye kundi la Waumini, wahi ufaidike kabla hujachelewa: “Hakika Allah atawaingiza walio amini na wakatenda mema…
SOMO LA KUMI NA NANE-05
“MANDHARI NA MUONEKANO WA WATENDA MAASI SIKU YA KIYAMA” Kuhimidiwa na kutukuzwa kunamstahikia Allah; Mola Mlezi wa viumbe wote, ambaye ndiye aliye muambia Mtume wake: “Na waonye siku inayo kurubia,…
SOMO LA NNE –03 MATUKIO MUHIMU KABLA YA KUZALIWA KWA BWANA MTUME-Rehema na Amani zimshukie.
“SIRA YA MTUME WA ALLAH; FALSAFA NA MAFUNDISHO YAKE” MASOMO, MAZINGATIO NA FAIDA ZIPATIKANAZO KWENYE TUKIO LA NDOVU. Ni jambo jema, tena la wajibu, tuanze kwa kumshukuru Mola wetu Muweza…
SUNNA ZA UDHU
Kabla hatujaanza kuzieleza sunna za udhu, ni vema tukajikumbusha sunna ni nini ? Neno “Sunna” lina maana mbili : maana ya kilugha na maana ya kisheria. Sunna katika lugha imefasiriwa kwa maana…
NGUZO ZA UDHU
Faida Kabla hatujaanza kuzielezea na kuzibainisha nguzo za udhu moja baada ya nyingine kama zilivyotajwa ndani ya Qur-ani Tukufu, ni vema kujiuliza nguzo ni nini ? Makusudio ya neno Nguzo…
