HADITHI YA WIKI (Juma la 75)

“Mbora wenu ni yule aliye mbora wenu kwa ahali wake (watu wake wa nyumbani)”. Sahih Ibn Hibbaan-Allah amrehemu.

KATAZO LA WIKI (JUMA LA 75)

Si ustaarabu, si uungwana na wala sio mafundisho ya Uislamu, kwa nini lakini ushike utupu (uchi) wako wa mbele au wa nyuma kwa mkono wako wa kulia?! Kumbuka lakini, mkono…

SWALI LA WIKI(JUMA LA 75)

SWALI: Mwanamke mtaabadi, anapenda Swakuswali jamaa msikitini khususan swala ya Tarawehe ndani ya mwezi mtukufu wa Ramadhani. Nini mtazamo na hukumu ya sheria katika kadhia hii ya mwanamke kwenda msikitini…

KUSTANJI/KUCHAMBA NA ADABU {TARATIBU ZA KUKIDHI HAJA}

“Mwenyezi Mungu akimtakia kheri Mja humfahamisha (humpa elimu) kwenye dini” Hadith Tukufu Kustanji/Kuchamba ni kusafisha na kuondoa najisi iliyotoka katika mojawapo ya tupu {uchi}mbili au zote mbili; tupu ya mbele…

SOMO LA PILI SEHEMU YA TATU – Malengo/Makusudio ya ndoa

“KUTENGENEA KWA FAMILIA YAKO, NDIO KUTENGENEA KWA JAMII NA TAIFA LAKO” Shukrani zote ni stahiki na milki yake Allah Mtukufu, aliye uumba ulimwengu kwa utashi, uwezo, malengo, mpangilio na makadirio…

SOMO LA PILI .04

 Hadhi, nafasi na daraja ya mji wa Makka katika Uislamu “SIRA YA MTUME WA ALLAH; FALSAFA NA MAFUNDISHO YAKE” Mpendwa msomaji wetu-Allah akurehemu-juma lililo pita tulijifunza na kuangalia mchango na…

SOMO LA KUMI NA NANE-01

“MANDHARI NA MUONEKANO WA WATENDA MAASI SIKU YA KIYAMA” Sifa zote njema zimuendee Mola Mlezi wetu kwa Hidaya zake za wazi na zilizo fichikana azitoazo wakati wote, ambaye ni Yeye…

AYA YA WIKI(JUMA LA 74)

Ishi na muongozo na maelekezo ya Qur-ani, ufanikiwe duniani na akhera: Miongoni mwa mambo yanayo pelekea kuongezeka kwa riziki/kipato, ni kukithirisha kuleta Istighfaari: “Nikasema: Ombeni msamaha kwa Mola wenu Mlezi,…

HADITHI YA WIKI (JUMA LA 74)

“Wabora wenu ni wale wazuri mno wenu wa tabia”. Bukhaariy-Allah amrehemu.

KATAZO LA WIKI (JUMA LA 74)

Jamani, hayo macho uliyo pewa bure na Mola wako na ambayo wenzako wengi tu hawakupewa, Allah amewafanya kuwa ni vipofu kwa hekima anazo zijua Yeye mwenyewe, hayo tambua ni neema…