Ishi na muongozo na maelekezo ya Qur-ani, ufanikiwe duniani na akhera:
Miongoni mwa mambo yanayo pelekea kuongezeka kwa riziki/kipato, ni kutoa sana sadaka: “Sema: Kwa hakika Mola wangu Mlezi humkunjulia riziki na humdhikishia amtakaye katika waja wake. Na chochote mtakacho kitoa Yeye atakilipa. Naye ni Mbora wa wanao ruzuku”. Sabai [34]:39