HADITHI YA WIKI (JUMA LA 80)

“Mbora wa watu ni yule mwenye moyo msafi (ulio salimika) na ulimi ulio mkweli. Wakauliza Maswahaba: Mwenye ulimi ulio mkweli tunamjua, basi ni yupi yule mwenye moyo msafi? Akajibu: Huyo ni yule mtakasifu wa moyo, Mchamngu, aso madhambi, wala dhulma, wala mfundo wa moyo, wala hasadi”. Sahih Al-Jaami’i-Allah amrehemu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *