ISHI NA MUONGOZO NA MAELEKEZO YA QUR-ANI, UFANIKIWE DUNIANI NA AKHERA
Acha ubishi, Kiyama kinakuja na kipo karibu mno kuliko unavyoweza kufikiria, mche Mola wao: “SAA IMEKARIBIA, NA MWEZI UMEPASUKA! NA WAKIONA ISHARA HUGEUKA UPANDE NA HUSEMA: HUU UCHAWI TU UNAZIDI KUENDELEA. NA WAMEKANUSHA NA WAMEFUATA MATAMANIO YAO. NA KILA JAMBO NI LENYE KUTHIBITI”. Al-Qamar [54]:01-03