Hii ndio sharti ya kwanza ya kusihi swala: Twahara nni nini, tayari umekwishajifunza katika sura ya kwanza, somo la kwanza, rejea huko na utaona. Twahara ambayo ni sharti ya kusihi…
Author: admin
SHARTI ZA SWALA
Sharti tunazozikusudia hapa ni zile sharti za kusihi swala. Maana ya sharti :- Sharti ya kitu ni lile jambo au tendo ambalo upatikanaji wa kitu husika unalitegemea jambo/tendo hilo lakini…
SWALA ZA FARADHI NA NYAKATI ZAKE
Swala za fardhi ambazo Muislamu amefaradhiwa na Mola wake kuziswali kila siku, mchana na usiku ni swala tano. Kila moja miongoni mwa swala tano hizi ina wakati wake maalum ambao…
SWALA NI WAJIBU KWA NANI?
Swala imemuwajibikia kila Muislamu aliyebaleghe (mkubwa) mwenye akili timamu. Zitakapopatikana na kutimia kwa mtu sifa tatu hizi:- 1. Uislamu. 2. Kufikia baleghe (ukubwa) na 3. Akili timamu.…
UNYENYEKEVU
Unyenyekevu unapatikanaje ndani ya swala? Huoni kuwa ni upeo wa unyenyekevu usio ni mithali pale muislamu anapokiweka mavumbini kiungo chake kitukufu “Uso” kumsujudia Mola wake. Tena wakalingana sawa katika unyenyekevu…
UPENDO
Hebu sasa tuingalie swala ni kwa kiasi gani inaweza kuwa ni kiwanda kinachozalisha bidhaa adimu na muhimu “Upendo”. Hebu itazameni swala wakati waislamu wanapokusanyika mahala pamoja mbele ya Bwana Mlezi…
NGUVU
Hivi huoni kuwa udhu ambao ndio msingi wa ibada nzima ya swala kuwa ni NGUVU ya mwili, NISHATI ya roho na ni NADHAFA ya kiwili wili kwa ujumla ? Je,…
FALSAFA YA SWALA
Ndugu zanguni Waislamu, jamii yoyote ya wanadamu inahitaji sera na utaratibu maalumu wa malezi ili kupata kizazi na jamii njema itakayoufanya ulimwengu huu kuwa ni kisiwa cha amani. Sera utaratibu…
DALILI YA SWALA NA TAREHE YAKE
Umethibiti ufaradhifu wa swala kwa kila muislamu ndani ya Qur-ani Tukufu, sunnah na Ijmaa. Ama Qur-ani imeamrisha utekelezaji na swala katika makumi ya aya zake, miongoni mwake ni kauli tukufu…
NAFASI YA SWALA KATIKA UISLAMU
Ibada ya swala ina nafasi na daraja kubwa sana katika Uislamu, kwa sababu nyingi tu , baadhi ya sababu zinazoifanya swala iwe na nafasi ya umuhimu wa pekee ni kama…
