Imepokewa kutoka kwa Uthmaan bin Affaan-Allah amuwiye radhi-amesema: Mtume wa Allah-Rehema na Amani zimshukie-amesema: “Atakaye tawadha kwa ajili ya swala, kisha akapiga hatua kwenda kuswali swala ya faradhi, akaiswali pamoja na watu au pamoja na jamaa, au (akaiswali) msikitini, Allah atamsamehe madhambi yake”. Muslim [232] na Ahmad [01/67]-Allah awarehemu.
Am willing to have daily hadith