ISHI NA MUONGOZO NA MAELEKEZO YA QUR-ANI, UFANIKIWE DUNIANI NA AKHERA:
Uone uwezo na uumbaji wa Mola wako ili upate kumtukuza na kumuabudu: “NA ALLAH AMEUMBA KILA KINYAMA KUTOKANA NA MAJI. WENGINE KATIKA WAO HUENDA KWA MATUMBO YAO, NA WENGINE HUENDA KWA MIGUU MIWILI, NA WENGINE HUENDA KWA MIGUU MINE. ALLAH HUUMBA AYATAKAYO. HAKIKA ALLAH NI MUWEZA WA KILA KITU”. An-nuur [24:45]