SWALI LA WIKI (JUMA LA 88)

SWALI: Naomba kujua hukumu ya sheria katika utumiaji wa alkoholi katika masuala ya tiba; yaani kuifanya kuwa ni sehemu ya viambata vya dawa? JIBU: Ni haramu kujitibu kwa kunywa alkoholi…

SUNNAH ZA KUTAYAMMAMU

Faida Kumesuniwa katika utekelezaji wa tendo la kutayamamu mambo kadhaa, miongoni mwa mambo hayo ni haya yafuatayo :- Kunasuniwa katika tayamamu yale yote ambayo ni suna katika udhu. Kuanzia na:…

AYA YA WIKI (JUMA LA 87)

ISHI NA MUONGOZO NA MAELEKEZO YA QUR-ANI, UFANIKIWE DUNIANI NA AKHERA: Uone uwezo na uumbaji wa Mola wako ili upate kumtukuza na kumuabudu: “NAYE NDIYE ALIYE ZIPELEKA BAHARI MBILI, HII…

HADITHI YA WIKI (JUMA LA 87)

Imepokewa kutoka kwa Umar bin Al-Khatwaab – Allah amuwiye radhi-amesema: Mtume wa Allah-Rehema na Amani zimshukie-amesema: “Atakaye tawadha vile itakiwavyo, kisha akasema (akaomba baada yake dua hii): Ash-hadu an laa…

KATAZO LA WIKI (JUMA LA 87)

Kwa nini lakini upuuzie mafundisho ya Mtume wako na kujinyima fursa ya kuhodhi kheri nyingi?! Kwani hujui kuna mambo mengi tu ambayo hayakugharimu chochote na ambayo hayana taklifu hata kidogo,…

SWALI LA WIKI (JUMA LA 87)

SWALI: Mimi ni mwanafunzi na katika mitihani yangu mara nyingi huwa nakopi majibu. Nini mtazamo wa sharia katika hilo, je hiyo ni ghushi (udanganyifu)? JIBU: Kama kunakili katika mtihani si…

NGUZO ZA TAYAMAMU

Nguzo za tayamamu, haya ni mambo ya msingi kabisa mabayo kuwepo/kupatikana kwa tayamumu kunayategemea, na haya ni mambo yanayofanyika ndani ya tayamamu yenyewe. Mambo yenyewe ni kama yafuatavyo: 1. Nia:…

AYA YA WIKI (JUMA LA 86)

ISHI NA MUONGOZO NA MAELEKEZO YA QUR-ANI, UFANIKIWE DUNIANI NA AKHERA: Uone uwezo na uumbaji wa Mola wako ili upate kumtukuza na kumuabudu: “JE! HUONI JINSI MOLA WAKO MLEZI ANAVYO…

HADITHI YA WIKI (JUMA LA 86)

Imepokewa kutoka kwa Uthmaan bin Affaan-Allah amuwiye radhi-kutoka kwa Mtume wa Allah-Rehema na Amani zimshukie-amesema: “Atakaye ukamilisha udhu kama alivyo amrishwa na Allah, basi swala tano (anazo ziswali kwa udhu…

KATAZO LA WIKI (JUMA LA 86)

Ni wangapi wangapi unao wajua hapo mtaani/kijijini kwako ambao wamesha hangaika Mashariki na Magharibi na kwa kutumia gharama kubwa katika kutafuta kupata japo mtoto mmoja tu, lakini hawajapata. Halafu wewe…