ISHI NA MUONGOZO NA MAELEKEZO YA QUR-ANI, UFANIKIWE DUNIANI NA AKHERA:
Unasubiri nini kuingia kwenye kundi la Waumini, wahi ufaidike kabla hujachelewa: “NA WALIO AMINI NA WAKATENDA MEMA, KWA YAKINI TUTAWAFUTIA MAKOSA YAO, NA TUTAWALIPA BORA YA WALIYO KUWA WAKIYATENDA”. Al-Ankabuut [29]:07