KATAZO LA WIKI (JUMA LA 69)

Umefanya uliyo yafanya ndani ya pazia la usiku, umemuasi Mola Muumba wako, umejidhulumu nafsi yako, umevunja heshima za watu na kudhulumu haki zao. Mola wako amekusitiri na pazia hilo la…

SWALI LA WIKI (JUMA LA 69)

SWALI: Nimeokota mtoto, nikampeleka nyumbani, mke wangu amefurahi na tumeamua kumlea na kumfanya mwanetu kwa kuwa sisi hatujajaliwa kupata mtoto. Nini hukumu ya kumuhalisi mtoto huyo (adoption)? JIBU: Kumpa malezi,…

AYA YA WIKI (JUMA LA 68)

Ishi na muongozo na maelekezo ya Qur-ani, ufanikiwe duniani na akhera: Ikumbuke na jiandae na ile siku ambayo Allah anaitaja hivi: “Na siku tutakapo iondoa milima na ukaiona ardhi wazi,…

HADITHI YA WIKI (JUMA LA 68)

“Mwenye kupenda kukutana na Allah, Allah naye anapenda kukutana naye. Na mwenye kuchukia kukutana na Allah, Allah naye anachukia kukutana naye”. Bukhaariy [08/514]

KATAZO LA WIKI (JUMA LA 68)

Maswahaba-Allah awawiye radhi-walipigana jihadi kwa ajili ya dini hii, wakauawa, wakapata majeraha na vilema vya kudumu. Leo wewe pia unayo nafasi ya kupata thawabu za jihadi, kwa nini huipatilizi nafasi…

SWALI LA WIKI (JUMA LA 68)

SWALI: Allah ameturuzuku mtoto wa kike, mke wangu anataka kumuita Jenifa, lakini mimi nimemkatalia na nikampa jina Fatma. Je, Uislamu unasemaje katika suala zima la majina? JIBU: Unalo litaka Uislamu…

SOMO LA KUMI NA SABA

MANDHARI NA MUONEKANO WA WAKANUSHAJI NA MAKAFIRI. Ashukuriwe na ahimidiwe Allah ambaye: “Yeye ndiye aliye kuumbeni kwa udongo, kisha akakuhukumieni ajali, na muda maalumu uko kwake tu. Tena baada ya…

MAKALA ZA FAMILIA YA KIISLAMU – UTANGULIZI

Utangulizi: Jina la Makala: Mpendwa msomaji na mwenza wetu katika jukwaa hili-Allah akurehemu na akudaimishe katika kheri na wema. Si kwa nguvu, ujanja, akili wala uwezo wetu, bali ni kwa…

UMUHIMU WA SIRA YA MTUME WA ALLAH KATIKA KUUFAHAMU UISLAMU

UMUHIMU WA SIRA YA MTUME WA ALLAH KATIKA KUUFAHAMU UISLAMU Mpendwa msomaji wetu-Allah akurehemu-tambua na ufahamu ya kwamba si lengo la kusoma Sira, Falsafa na Mafundisho yake, kujua tu matukio…

01 FAMILIA YA KIISLAMU – UTANGULIZI

Utangulizi: Neno la Awali Sifa na Shukurani zote njema ni zake Mola Muumba wetu ambaye ametuambia katika Kitabu chake Kitukufu: “Enyi watu! Hakika Sisi tumekuumbeni kutokana na mwanamume na mwanamke.…