AYA YA WIKI (JUMA LA 68)

Ishi na muongozo na maelekezo ya Qur-ani, ufanikiwe duniani na akhera:

Ikumbuke na jiandae na ile siku ambayo Allah anaitaja hivi: “Na siku tutakapo iondoa milima na ukaiona ardhi wazi, na tukawafufua wala hatumwacha hata mmoja kati yao. Na wakahudhurishwa mbele ya Mola wako Mlezi kwa safu (wakaambiwa): Mmetujia kama tulivyo kuumbeni mara ya kwanza! Bali mlidai kwamba hatutakuwekeeni miadi”. Al-Kahfi [18]:47-48

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *