“Hakika wamo miongoni mwa watu ambao (hao) ni funguo za mambo ya kheri na kufuli za mambo ya shari. Na hakika wamo miongoni mwa watu ambao (hao) ni kufuli za…
Author: admin
KATAZO LA WIKI (JUMA LA 70)
Kwa nini uwe muflisi akhera, kwa nini unafanya amali ili uonekane na watu, ili usifiwe na watu?! Kwani hao ndio watakao kupa jazaa ya matendo yako hayo?! Hapana, usifanye hivyo,…
SWALI LA WIKI (JUMA LA 70)
SWALI: Zama zetu za leo, hima na adabu ya watu katika ibada imeshuka kwa kiwango kikubwa. Utamuona mtu anachati au anaongea na mwenzake huku khatibu yuko juu ya mimbari anatoa…
SWALI LA WIKI(JUMA LA 66)
SWALI: Zama zetu za leo, hima na adabu ya watu katika ibada imeshuka kwa kiwango kikubwa. Utamuona mtu anachati au anaongea na mwenzake huku khatibu yuko juu ya mimbari anatoa…
HUKUMU YA SHERIA YA KIISLAMU
Baada ya kuona faida na umuhimu wa fiq-hi hatuna budi kujua hukumu ya sheria katika elimu hii. Kila elimu katika Uislamu ina hukumu yake, elimu ya uchawi kwa mfano ni…
SOMO LA KUMI NA SABA
MANDHARI NA MUONEKANO WA WAKANUSHAJI NA MAKAFIRI. Sifa zote njema ni zake Mola Muumba wa viumbe vyote ambaye: “…Yeye ndiye Allah mbinguni na ardhini. Anajua ya ndani yenu na ya…
SOMO LA KWANZA – ASILI NA CHIMBUKO LA WAARABU NA USTAARABU (MAENDELEO) WAO.
Asili ya Waarabu. Mpendwa msomaji wetu-Allah akurehemu-fahamu na uelewe ya kwamba, Sira ya Mtume Muhammad-Rehema na Amani zimshukie-haiandikiki na wala haielezeki bila ya kuwataja na kuwajua Waarabu na chimbuko (nasaba)…
SOMO LA KWANZA
Tumuhimidi na tumtakase Allah Mola Muumba wa mbingu saba na ardhi saba na vyote vilivyomo humo. Tunamshukuru kwa kuturuzuku bure uhai na uzima hata tukaweza kukutana leo katika ukumbi wetu…
AYA YA WIKI (JUMA LA 69)
Ishi na muongozo na maelekezo ya Qur-ani, ufanikiwe duniani na akhera:Hebu tuyatafakari pamoja maneno haya ya Mola Muumba wetu, kisha turejee na kujisalimisha kwake: “Sisi tumekuumbeni, basi hamsadiki? Je! Mnaiona…
HADITHI YA WIKI (JUMA LA 69)
“Je, niwaeleze aina za watu wa peponi? Ni kila mtu mnyonge aliye mnyenyekevu, kama atakula yamini kwa Allah (ya kufanya kitu ilhali akitumaini ukarimu wa Allah), Allah atamtimizia. Je, niwaeleze…
