SWALI: Mwanaadamu hupitia hatua mbali mbali katika afya yake, kwa sababu ama ya utu uzima au maradhi imefikia hawezi kuzuia mkojo, unamtoka pasina hisia. Nini hukumu ya sheria kwa mtu…
Author: admin
IV) AINA ZA NAJISI NA JINSI YA KUZIONDOSHA
Najisi kwa mtazamo wa sheria zimegawanywa katika aina tatu zifuatazo : NAJISI NZITO : Hii ni najisi ya mbwa na nguruwe na mnyama aliyezaliwa kutokana nao au mmoja wao (mbwa…
SOMO LA PILI – NDOA inaendelea…
“KUTENGENEA KWA FAMILIA YAKO, NDIO KUTENGENEA KWA JAMII NA TAIFA LAKO” Sifa njema zote ni haki yake Allah; Muumba wa viumbe vyote na Mpangaji wa mambo na taratibu zote, asemaye…
SOMO LA PILI NO .03
Mchango wa Ibn Zubeir na watu wengine katika ujenzi wa Al-Ka’aba. “SIRA YA MTUME WA ALLAH; FALSAFA NA MAFUNDISHO YAKE” Mchango wa Ibn Zubeir na watu wengine katika ujenzi wa…
SOMO LA KUMI NA SABA SEHEMU YA NANE
“MANDHARI NA MUONEKANO WA WAKANUSHAJI NA MAKAFIRI” Sifa njema zote ni haki ya Allah; Mola wa viumbe wote. Yeye pekee ndiye wa kuabudiwa na kuombwa. Rehema na Amani zishuke juu…
AYA YA WIKI (JUMA LA 73)
Ishi na muongozo na maelekezo ya Qur-ani, ufanikiwe duniani na akhera: Usipitwe na fursa ya kuwa miongoni mwa watu bora ambao: “Wale wanao toa mali zao usiku na mchana kwa…
HADITHI YA WIKI (JUMA LA 73)
“Atakaye jenga msikiti akitaka kwao dhati ya Allah, Allah atamjengea mfano wake peponi”. Bukhaariy [450] & Muslim [533]-Allah awarehemu.
KATAZO LA WIKI (JUMA LA 73)
Kwa nini ujidhuru eti kwa sababu tu ya kuacha utaratibu na mafundisho mepesi na rahisi mno ya Uislamu ambayo yanakuelekeza namna ya kujikinga dhidi ya mashetani wanao kaa vyooni?! Ni…
SWALI LA WIKI (JUMA LA 73)
SWALI: Sheria inasemaje kuhusiana na mume aliye muingilia mke wake katika kipindi cha hedhi na je, hilo linamuwajibishia kutoa kafara. Na kama ndio, kafara yake ni nini? JIBU: Jumuhuri ya…
SOMO LA PILI-NAJISI
i) MAANA YA NAJISI Najisi ni neno la kiarabu lenye maana mbili; maana ya kilugha na ya kisheria. Najisi katika lugha ni kila kilicho kibaya hata kama ni twahara kama vile…
