SWALI LA WIKI (JUMA 60)

SWALI: Nimekuwa nikisikia sana katika mazungumzi ya watu, wakisema neno “Istikhaara”, naomba kujua maana na makusudio ya neno hilo katika mtazamo wa dini yetu tukufu. JIBU: Kwanza yataka ufahamu ya…

AYA YA WIKI (JUMA 59)

Ishi na muongozo na maelekezo ya Qur-ani, ufanikiwe duniani na akhera: Uone uwezo wa Allah; Mola Muumba wako, acha kiburi, muabudu Mola wako upate ihepa adhabu kali isiyo wezwa na…

HADITHI YA WIKI (JUMA 59)

“Haimsibu muislamu taabu, wala maradhi, wala maumivu, wala jakamoyo, wala huzuni, wala kero, wala kukosa raha na hata mwiba unaomchoma, ila Allah atalifanya (hilo lililo msibu) kuwa ni kafara la…

KATAZO LA WIKI (JUMA 59)

Wewe huna matendo mema, basi kwa nini hujitahidi angalau kuwapenda watu wema?! Kwani hujui ya kwamba ukiwapenda watu wema, utatiwa katika kundi lao hata kama huna matendo mema kama yao?!…

SWALI LA WIKI (JUMA 59)

SWALI: Katika zama zetu hizi za leo, tunaona watu wakiswali swala za Eid viwanjani au hata barabarani mbele ya msikiti. Naomba kujua sharia inasemaje kuhusiana na jambo hili? JIBU: Ilivyo…

AYA YA WIKI

Ishi na muongozo na maelekezo ya Qur-ani, ufanikiwe duniani na akhera:Uone uwezo wa Allah; Mola Muumba wako, acha kiburi, muabudu Mola wako upate ihepa adhabu kali isiyo wezwa na kiumbe…

HADITHI YA WIKI

“Mtume wa Allah-Rehema na Amani zimshukie-alimbusu (mjukuu wake) Hassan bin Aliy na mbele yake alikuwepo Al-Aqra’a bin Haabis wa kabila la Tamim, amekaa. Akasema Al-Aqra’a: Hakika mimi nina watoto kumi,…

KATAZO LA WIKI

Acha ajizi na uvivu, baada ya kutekeleza yale aliyo kufaradhishia Mola Muumba wako, usipitwe na fursa ya kujikurubisha kwake kupitia amali mbali mbali za Sunna. Jipendekeze kwa Mola wako ili…

SWALI LA WIKI

SWALI: Msikitini kwetu tunaswalishwa na Imamu ambaye kwa kweli mimi binafsi siridhiki nae; sina imani nae. Je, nini hukumu ya swala yangu nyuma ya Imamu huyu, swala yangu ni sahihi?JIBU:…

SWALI LA WIKI

SWALI: Imekua ni ada na mazoea ya miaka mingi katika baadhi ya jamii, anapo fariki mmoja wao, ndugu na jamaa hukusanyika kwenye nyumba ya msiba, kwa ajili ya kuwafariji na…