HADITHI YA WIKI (JUMA LA 62)

“Jibrilu aliendelea kuniusia kumfanyia wema jirani mpaka nikadhani kuwa atakuwa mrithi wangu au atapewa haki ya kunirithi”. Bukhaariy [08/43]

KATAZO LA WIKI (JUMA LA 62)

Eti kwa kuwa umeswali sana miaka mingi, umefunga sana faradhi na sunna, umehiji na kufanya umra mara nyingi, umejenga misikiti na madrasa, umetoa sana sadaka, na … na …. Basi…

SWALI LA WIKI (JUMA LA 62 )

SWALI: Je, sharia inaruhusu kutoa fungu katika mali ya marehemu kuwapa ndugu/jamaa zake mafakiri na wenye shida? JIBU: Namna/njia ya kugawa zaka imeshabainishwa na Qur-ani Tukufu kupitia kauli yake Mola…

AYA YA WIKI (JUMA LA 61)

Ishi na muongozo na maelekezo ya Qur-ani, ufanikiwe duniani na akhera: Tambua ya kwamba kitabu cha amali zako utakacho pewa siku ya Kiyama, unakiandika mwenyewe kupitia matendo yako, epuka kupewa…

HADITHI YA WIKI (JUMA LA 61)

“Mmoja wenu asimuashirie silaha ndugu yake, kwa sababu hajui huenda shetani akaitowa mkononi mwake, akaingia kwenye shimo la moto”. Bukhaariy [09/193]

KATAZO LA WIKI (JUMA LA 61)

Kwa nini lakini ulimi wako unakuwa mwepesi mno katika mambo ya kipuuzi na unakuwa mzito mno katika kufanya dhikri?! Kwa nini huishukuru neema ya ulimi kwa kumdhukuru aliye kupa neema…

SWALI LA WIKI (JUMA LA 61)

SWALI: Mwanamke yumo katika hedhi, je ni halali kwake kumdhukuru Allah kwa kuleta mfano Tahalili (Laa ilaaha illal-laah), Tahmiidi (Al-hamdulillaah), Tasbihi (Sub-haanallaah) na Takbiiri (Allaahu Akbaru)? JIBU: Hedhi na nifasi…

AYA YA WIKI (JUMA LA 60)

Ishi na muongozo na maelekezo ya Qur-ani, ufanikiwe duniani na akhera: Ishi kama atakavyo Mola Muumba wako na si kama yatakavyo matashi na matamanio yako, ili usije kujuta na kusaga…

HADITHI YA WIKI (JUMA LA 60)

“Si mwongo yule anaye wasuluhisha watu kwa kuzua khabari nzuri au kusema khabari nzuri”. Bukhaariy [03/857]

KATAZO LA WIKI (JUMA LA 60)

Hivi bado tu haujafika wakati wa kurejea kwa Mola wako, ukamdhukuru, ukamuomba maghufira na ukatubia kwa mengi maovu uliyo yatenda?! Kumbuka: “Allah Aliyetukuka anasema: Mimi niko vile atakavyo nidhania kuwa…