SWALI: Nimeokota mtoto, nikampeleka nyumbani, mke wangu amefurahi na tumeamua kumlea na kumfanya mwanetu kwa kuwa sisi hatujajaliwa kupata mtoto. Nini hukumu ya kumuhalisi mtoto huyo (adoption)? JIBU: Kumpa malezi,…
Category: NUKUU ZA JUMA
AYA YA WIKI (JUMA LA 68)
Ishi na muongozo na maelekezo ya Qur-ani, ufanikiwe duniani na akhera: Ikumbuke na jiandae na ile siku ambayo Allah anaitaja hivi: “Na siku tutakapo iondoa milima na ukaiona ardhi wazi,…
HADITHI YA WIKI (JUMA LA 68)
“Mwenye kupenda kukutana na Allah, Allah naye anapenda kukutana naye. Na mwenye kuchukia kukutana na Allah, Allah naye anachukia kukutana naye”. Bukhaariy [08/514]
KATAZO LA WIKI (JUMA LA 68)
Maswahaba-Allah awawiye radhi-walipigana jihadi kwa ajili ya dini hii, wakauawa, wakapata majeraha na vilema vya kudumu. Leo wewe pia unayo nafasi ya kupata thawabu za jihadi, kwa nini huipatilizi nafasi…
SWALI LA WIKI (JUMA LA 68)
SWALI: Allah ameturuzuku mtoto wa kike, mke wangu anataka kumuita Jenifa, lakini mimi nimemkatalia na nikampa jina Fatma. Je, Uislamu unasemaje katika suala zima la majina? JIBU: Unalo litaka Uislamu…
AYA YA WIKI (JUMA LA 63)
Ishi na muongozo na maelekezo ya Qur-ani, ufanikiwe duniani na akhera: Ikumbuke na jiandae leo na ile: “Siku zitakapo tikisika mbingu kwa mtikisiko. Na milima iwe inakwenda kwa mwendo mkubwa.…
HADITHI YA WIKI (JUMA LA 63)
“Hakika katika jumla ya alama za Kiyama, ni kuondoshwa kwa elimu na kuthibiti kwa ujinga (mahala pake), kukithiri kwa unywaji wa pombe na kutapakaa kwa zinaa”. Bukhaariy [01/08]
KATAZO LA WIKI (JUMA LA 63)
Ni mizani gani inayo kufanya ukipe nafasi kubwa na ya kwanza kile utakacho kiacha na kile kitakacho kuwa na wewe popote pale utakapo kuwepo unakipa nafasi ndogo na ya mwisho?!…
SWALI LA WIKI (JUMA LA 63)
SWALI: Naomba kujuzwa, jina la Mtume wa Allah; Muhammad-Rehema na Amani zimshukie-limetajwa mara ngapi ndani ya Qur-ani Tukufu? JIBU: Jina “Muhammad”-Rehema na Amani zimshukie-limetajwa mara nne ndani ya Qur-ani Tukufu,…
AYA YA WIKI (JUMA LA 62)
Ishi na muongozo na maelekezo ya Qur-ani, ufanikiwe duniani na akhera: Usidhulumu na wala usishirikiane na dhalimu, usije kujuta na kujing’ata vidole: “Na siku ambayo mwenye kujidhulumu atajiuma mikono yake,…
