Ishi na muongozo na maelekezo ya Qur-ani, ufanikiwe duniani na akhera:
Unasubiri nini kuingia kwenye kundi la Waumini, wahi ufaidike kabla hujachelewa: “Hakika Allah atawaingiza walio amini na wakatenda mema katika Bustani zipitiwazo na mito kati yake. Watapambwa humo kwa mapambo ya mikononi ya dhahabu na lulu. Na mavazi yao humo ni hariri”. Al-Hajji [22]:23