“Je, niwaeleze aina za watu wa peponi? Ni kila mtu mnyonge aliye mnyenyekevu, kama atakula yamini kwa Allah (ya kufanya kitu ilhali akitumaini ukarimu wa Allah), Allah atamtimizia. Je, niwaeleze aina za watu wa motoni? Wote ni watu wenye vurugu, kiburi na ukorofi”. Bukhaariy [06/440]