HADITHI YA WIKI (JUMA LA 70)

“Hakika wamo miongoni mwa watu ambao (hao) ni funguo za mambo ya kheri na kufuli za mambo ya shari. Na hakika wamo miongoni mwa watu ambao (hao) ni kufuli za mambo ya kheri na ni funguo za mambo ya shari. Basi kheri iliyoje kwa yule ambaye Allah ameziweka mikononi mwake funguo za mambo ya kheri. Na hee jangwa la moto na adhabu kali na yake yeye yule ambaye Allah ameziweka mikononi mwake funguo za shari”. Sahih Al-Jaami’i [2223]

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *