AYA YA WIKI (JUMA LA 69)

Ishi na muongozo na maelekezo ya Qur-ani, ufanikiwe duniani na akhera:Hebu tuyatafakari pamoja maneno haya ya Mola Muumba wetu, kisha turejee na kujisalimisha kwake: “Sisi tumekuumbeni, basi hamsadiki? Je! Mnaiona mbegu ya uzazi mnayo idondokeza? Je! Mnaiumba nyinyi, au ni Sisi ndio Waumbaji? Sisi tumekuwekeeni mauti, na wala Sisi hatushindwi. Kuwaleta wengine badala yenu na kukuumbeni nyinyi kwa umbo msilo lijua. Na bila ya shaka mlikwisha jua umbo la kwanza, basi kwa nini hamkumbuki?”. Al-Waaqi’ah [56]:57-62

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *