2. Awamu za kujengwa kwa Al-Ka’aba.

“SIRA YA MTUME WA ALLAH; FALSAFA NA MAFUNDISHO YAKE” Mpendwa msomaji wetu-Allah akurehemu-baada ya kujifunza kwa mukhtasari tarekhe ya kuasisiwa na kujengwa kwa mji mtukufu wa Makka, leo tena kwa…

SEHEMU YA PILI – NDOA (inaendelea)

“KUTENGENEA KWA FAMILIA YAKO, NDIO KUTENGENEA KWA JAMII NA TAIFA LAKO” Sifa njema zote ni haki yake Allah; Muumba wa viumbe vyote na Mpangaji wa mambo na taratibu zote, asemaye…

SOMO LA KUMI NA SABA SEHEMU YA SABA

MANDHARI NA MUONEKANO WA WAKANUSHAJI NA MAKAFIRI. Shukrani zote ni stahiki na milki yake Allah Mtukufu; aliye uumba ulimwengu kuwa ni nyumba na uwanja wa matendo na akaiumba Akhera kuwa…

AYA YA WIKI (JUMA LA 72)

Ishi na muongozo na maelekezo ya Qur-ani, ufanikiwe duniani na akhera: Usipitwe na fursa ya kuwa miongoni mwa watu bora ambao: “… wanapo kasirishwa, wao husamehe”. As-Shuuraa [42]:37

HADITHI YA WIKI (JUMA LA 72)

“Atakaye muamini Allah na Mtume wake, akasimamisha swala na akafunga Ramadhani, imethibiti kwa Allah kumwingiza peponi”. Bukhaariy [2790]-Allah amrehemu.

KATAZO LA WIKI (JUMA LA 72)

Mbona unashindwa kujiheshimu na kujistahi mwenyewe, basi japo waheshimu na wastahi watu wengine, kwa nini lakini uonyeshe uchi wako mbele za watu?! Kwa nini uvue nguo zako hata kabla ya…

SWALI LA WIKI (JUMA LA 72)

SWALI: Naomba kujua hukumu ya sharia kwa mwanamume ambaye hajafanya khitani (hajatahiriwa). Je, swala yake inajuzu? JIBU: Khitani (tohara) ni katika jumla ya mambo ya kimaumbile yaliyo letwa na Uislamu…

V) MGAWANYO WA MAJI NA HUKUMU ZAKE

“Mwenyezi Mungu akimtakia kheri Mja humfahamisha (humpa elimu) kwenye dini” Hadith Tukufu Maji kwa kuzingatia sifa na hukumu zake yanagawanyika sehemu/mafungu matatu:- 1: MAJI TWAHUUR au MAJI MUTLAQ hili ndilo…

SOMO LA KUMI NA SABA SEHEMU YA SITA

MANDHARI NA MUONEKANO WA WAKANUSHAJI NA MAKAFIRI. “MANDHARI NA MUONEKANO WA WAKANUSHAJI NA MAKAFIRI” Shukrani na sifa zote njema ni milki na stahiki yake Allah Mola Muumba wa mbingu saba…

SOMO LA PILI (Iinaendelea) – NDOA

NDOA “KUTENGENEA KWA FAMILIA YAKO, NDIO KUTENGENEA KWA JAMII NA TAIFA LAKO” Sifa njema zote ni haki yake Allah; Mola wa viumbe vyote. Yeye pekee ndiye wa kuabudiwa na kuombwa.…