KATAZO LA WIKI (JUMA LA 81)

Kwa nini hufikiri kwanza kabla ya kutenda/kufuata?! Kwa nini umekuwa ni muhanga wa kuzolewa na ufuataji wa kibubusa?! Kwa nini unakuwa mtumwa wa viongozi/watu wakubwa, kila wanalo sema wewe unafuata…

SWALI LA WIKI (JUMA LA 81)

SWALI: Katika hospitali za umma, hutolewa huduma ya chakula kwa wagonjwa walio lazwa hapo. Swali, je kunajuzu mfanyakazi wa hospitali hiyo kula chakula cha wagonjwa pale kinapo bakia? JIBU: Chakula…

AYA YA WIKI (JUMA LA 80)

ISHI NA MUONGOZO NA MAELEKEZO YA QUR-ANI, UFANIKIWE DUNIANI NA AKHERA Acha ubishi, Kiyama kinakuja na kipo karibu mno kuliko unavyoweza kufikiria, mche Mola wao: “Enyi watu! Ikiwa ninyi mna…

HADITHI YA WIKI (JUMA LA 80)

“Mbora wa watu ni yule mwenye moyo msafi (ulio salimika) na ulimi ulio mkweli. Wakauliza Maswahaba: Mwenye ulimi ulio mkweli tunamjua, basi ni yupi yule mwenye moyo msafi? Akajibu: Huyo…

KATAZO LA WIKI (JUMA LA 80)

Ubakhili ni wa nini na mpaka lini huo ubakhili wako. Tangu umeamua kuwa bakhili mpaka leo umepata faida gani?! Acha ubakhili, kwani kuwa bakhili ni kujinyima mwenyewe fursa ya kuipata…

SWALI LA WIKI (JUMA LA 80)

SWALI: Mimi ni muuza uturi (manukato) na ili kumshawishi mnunuzi hulazimika kumpakaza ili apate kunusa harufu yake. Kisha tena ninakiuza kichupa cha uturi ule kwa  mtu mwingine, kikiwa tayari kimeshapungua…

AYA YA WIKI (JUMA LA 79)

ISHI NA MUONGOZO NA MAELEKEZO YA QUR-ANI, UFANIKIWE DUNIANI NA AKHERA. Acha ubishi, Kiyama kinakuja na kipo karibu mno kuliko unavyoweza kufikiria, mche Mola wako: “Enyi watu! Mcheni Mola wenu…

HADITHI YA WIKI (JUMA LA 79)

“Bora ya amali ni wewe kufariki Dunia na ilhali ulimi wako u maji maji kwa kumdhukuru Allah”. Sahih Al-Jaami’i-Allah amrehemu.

KATAZO LA WIKI (JUMA LA 79)

Dini yako haina thamani; haiuziki kwa chochote. Dini yako ndio kitu ghali mno unacho miliki, kwa nini basi unazipotoa aya za Mola wako kwa maslahi ya wanasiasa au kwa kujipendekeza…

SWALI LA WIKI (JUMA LA 79)

SWALI: Leo ulimwenguni kote kumekuwa na miito ya kuwataka watu kuchangia damu, na watu wanaitika na kuchangia hiyo damu na wengine kufikia hata kujitolea viungo vyao vya mwili. Sheria inasemaje…