AYA YA WIKI (JUMA LA 79)

ISHI NA MUONGOZO NA MAELEKEZO YA QUR-ANI, UFANIKIWE DUNIANI NA AKHERA.

Acha ubishi, Kiyama kinakuja na kipo karibu mno kuliko unavyoweza kufikiria, mche Mola wako:

“Enyi watu! Mcheni Mola wenu Mlezi. Hakika tetemeko la Saa (ya Kiyama) ni jambo kuu. Siku mtapo iona, kila mwenye kunyonyesha atamsahau amnyonyeshaye, na kila mwenye mimba ataharibu mimba yake. Na utaona watu wamelewa, na kumbe hawakulewa. Lakini adhabu ya Allah ni kali”. Al-Hajji [22]:01-02

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *