KATAZO LA WIKI (JUMA LA 88)

Leo ulimwengu mzima unateseka na kupitia katika majanga makubwa, umekumbwa na maradhi mabaya yanayo ambukiza kwa kasi kubwa na kuua kwa halaiki. Familia nyingi leo, watoto wameachwa yatima, wanawake wameachwa…

KATAZO LA WIKI (JUMA LA 87)

Kwa nini lakini upuuzie mafundisho ya Mtume wako na kujinyima fursa ya kuhodhi kheri nyingi?! Kwani hujui kuna mambo mengi tu ambayo hayakugharimu chochote na ambayo hayana taklifu hata kidogo,…

KATAZO LA WIKI (JUMA LA 86)

Ni wangapi wangapi unao wajua hapo mtaani/kijijini kwako ambao wamesha hangaika Mashariki na Magharibi na kwa kutumia gharama kubwa katika kutafuta kupata japo mtoto mmoja tu, lakini hawajapata. Halafu wewe…

KATAZO LA WIKI (JUMA LA 85)

Kwa nini lakini uumie kwa kipato cha mwenzako?! Kwani wewe huamini ya kwamba kipato alicho nacho ni riziki aliyo pewa na Mola wake kwa hekima anazo zijua Yeye Mwenyewe?! Kwa…

KATAZO LA WIKI (JUMA LA 84)

Unabweteka; hutaki kufanya amali njema zikufae leo hapa duniani kabla ya kesho mbele ya Mola wako Mlezi?! Ikiwa unaamini na kukiri kwamba vyote ulivyo navyo leo hapa juu ya mgongo…

KATAZO LA WIKI (JUMA LA 83)

Ubakhili/unyimi kwa upande mmoja na ubadhirifu kwa upande wa pili si katika tabia za muislamu, aslani. Allah amekuchagua miongoni mwa waja wake wengi akakunjulia riziki, unacho cha kukutosha na ziada.…

KATAZO LA WIKI (JUMA LA 82)

Swala ni amri ya Mola Muumba wako, anataka umsujudie kila siku sijida thelathini na nne za faradhi ukiachilia mbali zile za sunna. Kwa nini ujitoe kwenye jina zuri alilo kupa…

KATAZO LA WIKI (JUMA LA 81)

Kwa nini hufikiri kwanza kabla ya kutenda/kufuata?! Kwa nini umekuwa ni muhanga wa kuzolewa na ufuataji wa kibubusa?! Kwa nini unakuwa mtumwa wa viongozi/watu wakubwa, kila wanalo sema wewe unafuata…

KATAZO LA WIKI (JUMA LA 80)

Ubakhili ni wa nini na mpaka lini huo ubakhili wako. Tangu umeamua kuwa bakhili mpaka leo umepata faida gani?! Acha ubakhili, kwani kuwa bakhili ni kujinyima mwenyewe fursa ya kuipata…

KATAZO LA WIKI (JUMA LA 79)

Dini yako haina thamani; haiuziki kwa chochote. Dini yako ndio kitu ghali mno unacho miliki, kwa nini basi unazipotoa aya za Mola wako kwa maslahi ya wanasiasa au kwa kujipendekeza…