AYA YA WIKI (JUMA LA 71)

Ishi na muongozo na maelekezo ya Qur-ani, ufanikiwe duniani na akhera: Usipitwe na fursa ya kuwa miongoni mwa watu bora ambao: “Mbavu zao zinaachana na vitanda kwa kumuomba Mola wao…

HADITHI YA WIKI (JUMA LA 71)

“Atakaye kutana na Allah ilhali hakumshirikisha na chochote, ataingia peponi” Bukhaariy [129]-Allah amrehemu.

KATAZO LA WIKI (JUMA LA 71)

Mbona unakosa haya, kwa nini lakini huoni aibu, huoni vibaya kujivunjia heshima na kujidharaulisha mbele za watu?! Ni kwa lipi hasa hata uthubutu kuufanya mwili wako kuwa ni maonyesho kwa…

SWALI LA WIKI (JUMA LA 71)

SWALI: Nina msahafu mkongwe ambao karatasi zake zimechanika chanika na haufai tena kutumika katika kusoma Qur-ani. Niufanyeje msahafu huo na je sharia inaniruhusu kuuchoma? JIBU: Kwa kuwa msahafu haufai tena…