AYA YA WIKI (JUMA LA 88)

ISHI NA MUONGOZO NA MAELEKEZO YA QUR-ANI, UFANIKIWE DUNIANI NA AKHERA:

Uone uwezo na uumbaji wa Mola wako ili upate kumtukuza na kumuabudu: “AMETUKUKA ALIYE ZIJAALIA NYOTA MBINGUNI, NA AKAJAALIA HUMO TAA NA MWEZI UNAONG’ARA. NAYE NDIYE ALIYE FANYA USIKU NA MCHANA KUFUATANA KWA NAFUU YA ANAYE TAKA KUKUMBUKA, AU ANAYE TAKA KUSHUKURU”. Al-Furqaan [25:61-62]

One thought on “AYA YA WIKI (JUMA LA 88)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *